Wachezaji wa Gor Mahia walikuwa wepesi sana kutafuta mpira (kukaba) mara unapokuwa kwa maadui, pia wakipata mpira wanapiga pasi za kushtu...
U-15 YAICHAPA 3-0 KOMBAINI YA MBEYA
Kikosi cha taifa stars U-15 kilichocheza na timu ya combine ya U-15 ya jijini Mbeya TIMU ya taifa ya vijana wenye umri chini y...
COVENANT BANK YAIPIGA CHANETA JEKI LA MILIONI 40
Wapili kutoka kushoto ni m/kiti wa CHANETA, Anna Kibira akipoke tiketi za ndege kwa ajili ya wachezaji wa timu ya taifa wa mchezo wa wavu ...
STARS YAJICHIMBIA ZENJI KUJIWINDA DHIDI YA UGANDA
STARS YAJICHIMBIA ZENJI KUJIWINDA DHIDI YA UGANDA
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, imewasili leo asubuhi Visiwani Zanzibar tay...
JE, MAN U KESHO ATAWEZA KUFUTA REKODI YA MAGOLI 6-1 ALIZOCHAPWA NA MAN CITY 2011/2012?
JE, MAN U KESHO ATAWEZA KUFUTA REKODI YA MAGOLI 6-1 ALIZOCHAPWA NA MAN CITY 2011/2012?
Kihistoria, kesho siku ya Jumapili, Aprili 12, 2015, ni 'derby' ya 169 kati ya Manchester United dhidi ya Manchester City katika ...
RATIBA YA AFCON 2017 NDIO HII HAPA, TANZANIA TUPO KUNDI MOJA NA NIGERIA
RATIBA YA AFCON 2017 NDIO HII HAPA, TANZANIA TUPO KUNDI MOJA NA NIGERIA
DRAW KAMILI. Group A: Tunisia, Togo, Li...
JULIO: UBABAISHAJI WA RATIBA VPL NDO KILICHOTUANGUSHA JANA DHIDI YA YANGA SC.
Wa kwanza upande wa kulia kati ya walio simama ni "Julio" akizungumza na wachezaji wa Costal Union wakati wa mazoezi. Baada ya...
U-15 YAINGIA KAMBINI,VPL KUENDELEA KESHO
U-15 YAINGIA KAMBINI,VPL KUENDELEA KESHO
Na Baraka Kizuguto, Dar Es salaam. Timu ya Taifa ya Tanzania ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) imeingia kambini leo katika ...
RATIBA NZIMA YA HATUA YA 16 MASHINDANO YA CAF 2015 HII HAPA
RATIBA NZIMA YA HATUA YA 16 MASHINDANO YA CAF 2015 HII HAPA
Pichani ni baadhi ya wachezaji wa Yanga Sc walipokuwa wakijianda kuelekea nchini Zimbabwe kwenda kuwakabili Plutnum Fc nchini humo ambapo...
WAMBURA MCHEZAJI BORA WA MWEZI FEBRUARY VPL, AWAPIKU SAIMON MSUVA NA ABASIRIM CHIDIEBERE.
WAMBURA MCHEZAJI BORA WA MWEZI FEBRUARY VPL, AWAPIKU SAIMON MSUVA NA ABASIRIM CHIDIEBERE.
Na Baraka Kizuguto, Dar Es Salaam. Godfrey Wambura upande wa kulia akiwa na Abdulhalim upande wa kushoto wakimuweka kati mchezaji wa Si...
MAKA MALWISYI: LIGI DARAJA LA KWANZA NI FITINA TUPU, HUWEZI FITINA BASI KUPANDA LIGI KUU NI NDOTO.
Maka Malwisyi upande wa kushoto akiwa katika mahojiano maalum na mwandishi wa michezo Mlimani TV , Khalid Msabaha. Ligi daraja la kwan...
JULIO NI MOTO WA KUOTEA MBALI, ABWAGA MANYANGA MWADUI FC SASA YUPO NDANI YA COSTAL UNION.
Wapili kutoka kulia (waliosimama) ni Julio, akijaribu kusisitiza jambo kwa wachezaji wa Costal Union wakati wa mazoezi. "Hapa...
KAMATI YA NIDHAMU YAWAADHIBU NYOSO NA MORRIS
Juma Said Nyoso. Na Baraka Kizuguto, Dar es salaam. Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia ka...
KOCHA MPYA WA COSTAL HUYU HAPA, KAAPA KUIPA WAGOSI WA NDIMA UBINGWA WA LIGI KUU.
Na Mwandishi wetu, Tanga. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Costal Union Fc, Dr. Ahmed Twaha akiwa na kocha mpya wa klabu hiyo, ...
COSTAL UNIO U-20 WAAPA KUTETEA UBINGWA WAO KOMBE LA UHAI LITAKALO ANZA KUTIMUA VUMBI HIVI KARIBUNI TANZANIA BARA.
Na mwandishi wetu, Tanga. Timu ya Coastal Union ya Vijana U-20 imepania kuhakikisha inatetea taji lake wanalolishikilia la Michuano...
WACHEZAJI WATATU WA MAN U NJE KWA MAJERUHI, LVG ANAPASWA KUCHEZA KARATA DUME KUELEKEA MCHEZO WA J'MOSI DHIDI YA ARSENAL.
WACHEZAJI WATATU WA MAN U NJE KWA MAJERUHI, LVG ANAPASWA KUCHEZA KARATA DUME KUELEKEA MCHEZO WA J'MOSI DHIDI YA ARSENAL.
Daley Blind 24, anatarajiwa kuwa nje ya dimba kwa takribani wiki sita (source: Dutch Website, Voetbal International) akiuguza jeraha lake ...
DAVID WILLIAM MOYES KOCHA MPYA REAL SOCIEDAD, ALA SHAVU LA MWAKA MMOJA NA NUSU.
DAVID WILLIAM MOYES KOCHA MPYA REAL SOCIEDAD, ALA SHAVU LA MWAKA MMOJA NA NUSU.
Baada ya mchakato mrefu, klabu ya Real Sociedad ya Hispania imempatia kocha wa zamani wa Manchester United, David Moyes mkataba wa mwaka mm...
DAVID MOYES NI MMOJA KATI YA MAKOCHA WENGI WANOPEWA NAFASI KUBWA YA KURIDHI MIKOBA YA ARRASATE ALIYEKUWA ANAFUNDISHA KLABU YA REAL SOCIEDAD.
DAVID MOYES NI MMOJA KATI YA MAKOCHA WENGI WANOPEWA NAFASI KUBWA YA KURIDHI MIKOBA YA ARRASATE ALIYEKUWA ANAFUNDISHA KLABU YA REAL SOCIEDAD.
Moyes hakuwahi kupata kazi nyingine tena tangu afukuzwe Man U kwa sababu ya matokeo mabovu katika klabu hiyo msimu uliopita. Baada ya k...
VITA YA DKT.DAMAS NDUMBARO DHIDI YA TFF YASHIKA KASI TENA, TFF WANENA MAMBO MANNE KUHUSU ZENGWE LENYEWE.
VITA YA DKT.DAMAS NDUMBARO DHIDI YA TFF YASHIKA KASI TENA, TFF WANENA MAMBO MANNE KUHUSU ZENGWE LENYEWE.
Na Boniface Wambura, Dar es salaam. Wakili Damas Ndumbaruo ( Daktari wa sheria). Oktoba 31 mwaka huu kupitia vyombo vya habari Waki...
MAKOCHA 35 KUSHIRIKI KOZI YA LESENI C YA CAF ITAKAYOFANYIKA MOROGORO MWEZI UJAO
MAKOCHA 35 KUSHIRIKI KOZI YA LESENI C YA CAF ITAKAYOFANYIKA MOROGORO MWEZI UJAO
Na Boniface Wambura, Dar es salaam. Sunday Kayuni. Makocha 35 wameteuliwa kushiriki kozi ya ukocha ya Leseni C ya Shirikisho la M...