WAMBURA MCHEZAJI BORA WA MWEZI FEBRUARY VPL, AWAPIKU SAIMON MSUVA NA ABASIRIM CHIDIEBERE. WAMBURA MCHEZAJI BORA WA MWEZI FEBRUARY VPL, AWAPIKU SAIMON MSUVA NA ABASIRIM CHIDIEBERE.

Na Baraka Kizuguto, Dar Es Salaam. Godfrey Wambura upande wa kulia  akiwa na Abdulhalim upande wa kushoto wakimuweka kati mchezaji wa Si...

Read more »
11:17 AM

MAKA MALWISYI: LIGI DARAJA LA KWANZA NI FITINA TUPU, HUWEZI FITINA BASI KUPANDA LIGI KUU NI NDOTO. MAKA MALWISYI: LIGI DARAJA LA KWANZA NI FITINA TUPU, HUWEZI FITINA BASI KUPANDA LIGI KUU NI NDOTO.

Maka Malwisyi upande wa kushoto akiwa katika mahojiano maalum na mwandishi wa michezo Mlimani TV , Khalid Msabaha.  Ligi daraja la kwan...

Read more »
11:27 AM

JULIO NI MOTO WA KUOTEA MBALI, ABWAGA MANYANGA MWADUI FC SASA YUPO NDANI YA COSTAL UNION. JULIO NI MOTO WA KUOTEA MBALI, ABWAGA MANYANGA MWADUI FC SASA YUPO NDANI YA COSTAL UNION.

Wapili kutoka kulia (waliosimama) ni Julio, akijaribu kusisitiza jambo kwa wachezaji wa Costal Union wakati wa mazoezi. "Hapa...

Read more »
2:26 PM

KAMATI YA NIDHAMU YAWAADHIBU NYOSO NA MORRIS KAMATI YA NIDHAMU YAWAADHIBU NYOSO NA MORRIS

Juma Said Nyoso. Na Baraka Kizuguto, Dar es salaam. Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)   imewafungia ka...

Read more »
8:32 AM

KOCHA MPYA WA COSTAL HUYU HAPA, KAAPA KUIPA  WAGOSI WA NDIMA UBINGWA WA LIGI KUU. KOCHA MPYA WA COSTAL HUYU HAPA, KAAPA KUIPA WAGOSI WA NDIMA UBINGWA WA LIGI KUU.

Na Mwandishi wetu, Tanga. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Costal Union Fc, Dr. Ahmed Twaha akiwa na kocha mpya wa klabu hiyo, ...

Read more »
1:19 PM

COSTAL UNIO U-20 WAAPA KUTETEA UBINGWA WAO KOMBE LA UHAI LITAKALO ANZA KUTIMUA VUMBI HIVI KARIBUNI TANZANIA BARA. COSTAL UNIO U-20 WAAPA KUTETEA UBINGWA WAO KOMBE LA UHAI LITAKALO ANZA KUTIMUA VUMBI HIVI KARIBUNI TANZANIA BARA.

Na mwandishi wetu, Tanga. Timu ya Coastal Union ya Vijana U-20 imepania kuhakikisha inatetea taji lake wanalolishikilia la Michuano...

Read more »
3:27 PM

WACHEZAJI WATATU WA MAN U NJE KWA MAJERUHI, LVG ANAPASWA KUCHEZA KARATA DUME KUELEKEA MCHEZO WA J'MOSI DHIDI YA ARSENAL. WACHEZAJI WATATU WA MAN U NJE KWA MAJERUHI, LVG ANAPASWA KUCHEZA KARATA DUME KUELEKEA MCHEZO WA J'MOSI DHIDI YA ARSENAL.

Daley Blind 24, anatarajiwa kuwa nje ya dimba kwa takribani wiki sita (source: Dutch Website, Voetbal International) akiuguza jeraha lake ...

Read more »
11:31 AM

DAVID WILLIAM MOYES KOCHA MPYA REAL SOCIEDAD, ALA SHAVU LA MWAKA MMOJA NA NUSU. DAVID WILLIAM MOYES KOCHA MPYA REAL SOCIEDAD, ALA SHAVU LA MWAKA MMOJA NA NUSU.

Baada ya mchakato mrefu, klabu ya Real Sociedad ya Hispania imempatia kocha wa zamani wa Manchester United, David Moyes mkataba wa mwaka mm...

Read more »
10:37 AM

DAVID MOYES NI MMOJA KATI YA  MAKOCHA WENGI WANOPEWA NAFASI KUBWA YA KURIDHI MIKOBA YA ARRASATE ALIYEKUWA ANAFUNDISHA KLABU YA REAL SOCIEDAD. DAVID MOYES NI MMOJA KATI YA MAKOCHA WENGI WANOPEWA NAFASI KUBWA YA KURIDHI MIKOBA YA ARRASATE ALIYEKUWA ANAFUNDISHA KLABU YA REAL SOCIEDAD.

Moyes hakuwahi kupata kazi nyingine tena tangu afukuzwe Man U kwa sababu ya matokeo mabovu katika klabu hiyo msimu uliopita.  Baada ya k...

Read more »
9:33 AM
 
Top