Kwa hakika mtu wa Mungu huu ni muda wa wewe na mimi kurekebisha njia zetu na kurudi kundini.
Fikiri kama bwana Yesu hakujitolea kubebe dhambi zetu ingekuwaje. tusikubali kurudi Misiri bali tung'ang'ane kuelekea KANANI. Nawatakia Pasaka njema. JESUS is GRATE...!!!! (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment