Brentford 2-2 Chelsea: Torres amsitiri Benitez

Team ya Chelsea maarufu kama 'the blues' ama watoto wa darajani wameweza kuchoshana nguvu na wapinzani wao Brentford baada ya kutoka sare ya mabao mawili kwenye mpambano uliofanyika katika uwanja wa Griffin Park.
Magoli ya Brentford yalitiwa kimyani na Marcello Trotta 42', Harry, Forrester 73'
Magoli ya the blues yalisukumizwa wavuni na Oscar 55' na Fernando Torres 83'
chanzo; Goal.com
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment