Mourinho:Kamwe siwezi kufundisha ujerumani. 
Bosi wa Real akataa kutoa maoni juu ya maamuzi ya Pep Guardiola kujiunga na timu ya Bayern Munich katika msimu wa joto, lakini amesisitiza kuwa hafurahishwi na ligi ya Bundesliga.
Katika mahojiano na Rai Spot, Bosi wa Real Madrid amesisitiza kuwa kuhama kwa Guardiola kwenda Ujerumani haumuhusu hata kidogo, na hafikirii kufuata nyayo ya mpinzani wake huyo wa zamani.
''Sina cha kushauri, kila mtu anatawaliwa na machaguo yake'' Alisema Mourinho.
Chanzo: Goal.com.
27-Jan-2013 3:20:00 PM
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment