Baada ya kipute cha roba fainali kufikia tamati ikiwa imehusisha timu kama vile Malalaga, Borussia Dortmund, Real Madrid, Galatasaray, Paris Saint Germain [PSG] pamja nao miamba ya soka nchini Spain, Barcelona, sasa mtanange umehamia hatua nyingine ya nusu fainali ikiwa imesheheni wakali sugu wa soka kama ifuatavyo;
23-04-2013 / 1-05-2013
1st Leg 2nd Leg
![]() |
BAYERN |
![]() | |||||||||||||
FC BARCA |
Vs
24-04-2013 30-04-2013
1st Leg 2nd Leg
![]() |
Borussia Dortmund. |
![]() |
Real Madrid |
Vs
UEFA LEAGUE
![]() |
CHELSEA |
![]() |
BASEL FC |
Vs
FENERBAHCE Vs BENFICA
Uturuki Ureno
![]() |
Benfica. |
![]() |
FENERBAHCE. |
NB; huu utakuwa ni mtanange wa kukata na shoka mpenzi msomaji mwenzangu......kama una comment, usisite kukandamiza, kwa habari mbalimbali za soka na na mengine mengi kaa karibu na blog hii. Thanks!
Francis Kivuyo Goal.com.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment