Shivanth na Shivram12 ambao ni watoto wa mzee Rajab Kumar  wamezaliwa wakiwa wameungana katika eneo la kiuno kitendo kinacho walazimu wao kutembea kwa kutumia miguu miwili lakini kila mmoja akiwa na mikono  miwili kama kawaida.

Shivnath and Shivram pose for a photograph before getting ready for school in Chhattisgarh, India
Shivanth na Shivram wakiwa kwenye pozi kwa ajili ya picha.
Licha ya madaktari huko nchini India kujitokeza kuwagawanyisha, Shivanth na Shivram wamegoma kutenganishwa na kusisitiza kuwa watabaki jinsi walivyo hata wakiwa wakubwa.

Shivram and Shivnath eat together as both enjoy plates full of rice
Shivanth na Shivram wakipa chakula.

Baadhdi ya watu katika kijiji chao huenda kuwaona vijana hao na wengine kuwaabudu wakiamini kuwa ni watapa baraka fulafulani.

Keen learners: The twins studying on a mat at their home
Shivanth na Shivram wakisoma 

Kwa mujibu wa wazazi wa vijana hawa Mr Rajab Kumar na Mrs Sahu wamesema kuwa watoto wao hao wamejaliwa kuwa na uwezo mkubwa kimasomo kwani miongoni mwa wanafuzi wanaofaulu  vizuri katika mitihani mbalimbali huko huko shuleni kwao.

Credits. Daily mail.

(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top