![]() |
Jana ilikuwa ni sik ya pekee zaidi kwa Glen Johnson: Pichani ni Johnson akiwa na mke wake kipenzi, Raura pamoja na watoto wao wakiweka pozi bele ya keki ya birthday yao. |
![]() |
Aliyekaa katika ni Glen Johnson akiwa na wanandinga wenzake wa Liverpool, wa kwanza kutoka kulia ni; Joe Allen na Brad Jones. Wengine tukianzia kulia baada ya Johnson ni; Fabio Borini, Sebastian Coates, Phillippe Coutinho pamoja naye Lucas Leiva. Wote hao kasoro mwenye shughuli Glen Johnson, wamevaa maski (kiziba uso) kuongeza manjonjo kwenye pati lenyewe.
Goli la kwanza la Liverpool jana yalifungwa na mshambuliaji hatari, Raheem Sterling dakika ya 23, goli ambalo baadaye lilisawazishwa na Southampton kupitia Nathaniel Clyne dakika ya 56 ya mtanange huo lakini baadaye Liverpool walichachamaa na kuongeza goli la pili na la ushindi mnamo dakika ya 79 ya mpepetano huo kupitia mshambuliaji wao nyota Daniel Sturridge
Kwa sasa Glen Johnson amefikisha umri wa miaka 30 lakini bado kiwango chake cha soka ni cha hali ya juu sana na amekuwa moja ya wachezaji tegemeo kwa Brendan Rodgers.
|
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment