![]() |
Baadhi ya sababu zilizo tajwa kusababisha klabu ya Arsenal kuwa na rekodi ya juu ya majeruhi katika ligi kuu ya nchini Uingerza ni; Wachezaji kupenda kukaa na mpira kwa muda mrefu (possessing the ball for a long time), wachezaji kutopata muda wa kutosha wa kupumzika baada ya majeraha, kukosekana kwa wataalamu waliobobea katika kuchunguza afya za wachezaji klabuni hapo. |

0 comments:
Post a Comment