Cech alipata jera kubwa katika bega lake la kushoto msimu uliopita wakati Chelsea ikipepetana na Atletical Madrid mwezi July katika mashindano ya klabu bingwa barani Ulaya hali iliyomfanya yeye kumalizia msimu wa 2013/2014 akiwa nje ya dimba tangu pale alipo pata majeraha na nafasi yake kuchukuliwa na Mark Schwarzer kabla ya Thibault Courtois kurejea Chelsea akitokea Atletical Madrid alipokuwa akicheza kwa mkopo.
![]() |
Cech akitolewa nje baada ya kuumia bega la kushoto wakati Chelsea ikabiliana na Atleticala Madrid dimbani Vicente Calderon msimu uliopita katika michuano ya klabu bingwa barani Ulaya mchezo ambao ulikwisha kwa timu kutoka suluhu. |
![]() |
Huyu pia ni goli kipa bora wa ligi kuu nchiniUingereza msimu uliopita wa 2013/2014 |
Petre Cech alichechea Chelsea kwa mara ya kwanza tangu msimu huu uanze wakati Chelsea ikicheza dhidi ya Arsenal Juma pili iliyopita Dimbani Stanford Bridge, baada ya Courtois kuumia. Mchezo huo ulimalizika kwa Chelsea kuibuka na ushindi wa magoli 2-0, kichapo ambacho kiliendelea kumpa Arsena rekodi mbaya ya kuchezea kichapo mara kwamara wanapokutana na Chelsea kwa muda mrefu. (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment