![]() |
| Kulia ni Roy Hogson, akiwa na nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Man U, Wayne Mark Rooney wakizungumza na waandishi wa habari. |
"Angalia jinsi wachezaji wangu walivyokuwa wakimiliki mpira kwa muda mrefu huku waki chachafya goli la wapinzani; naweza kusema hatukuwa na bahati zaidi ya hapo lakini yote kwa yote nawshukuru sana vijana wangu kwa kazi nzuri waliyo ifanya." Hiyo ni kauli ya kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hogson.
![]() |
| Ilikuwa ni siku ngumu zaidi kwa San Marino kupigwa magoli 5-0 kama walikuwa wamesimama. Kumbuka haya ni mashindano ya kusaka tiketi za kushiriki fainali za michuano ya mabingwa wa Ulaya 2016 |
Wafungaji wa Uingereza (Three lions) ni Phil Jagielka, Wayne Rooney (magoli 2), Danny Welbeck, Andros townsend.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});


0 comments:
Post a Comment