Rio Ferdinand.
'SKET' ni neno linalo aminika kuwa la kimadharau/ la kiubaguzi kijinsia (mwanamke)." hivyo ndivyo ripoti ya FA ilivyosema.

Inadaiwa, Ferdinand 35 aliandikia hivyo Sep 1, 2014 baada ya kutumiwa ujume kwenye mtandao wake wa twtter uliosomeka "may be QPR needs to sign a central back" (tafsiri rahisi: QPR wanahitaji kumsajili beki wa kati).

FA imempatia beki huyo muda hadi Oct 21 mwaka huu kujibu tuhuma hizo zinazomkabili.





(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top