Ratiba ya hatua ya 16 bora michuano ya CAF imeshatoka, ambapo wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano hayo, Yanga Sc itaumana na Etail Sahel ya Tunisia huku Yanga ikiwa ni mwenyeji wa Etal Sahel katika mechi ya kwanza.
Mechi za awali zitapigwa kuanza Aprili 17-19 wakati mechi za marudiano ikitarajiwa kuchezwa May1-3 mwaka huu.
Hii ndio ratiba yenyewe
Onze Createurs (MLI) v ASEC Mimosas (CIV)
Djoliba (MLI) v Hearts of Oak (GHA)
ASO Chlef (ALG) v Club Africain (TUN)
Warri Wolves (NGR) v MK Etancheite (COD)
Zamalek (EGY) v FUS Rabat (MAR)
Mounana (GAB) v Orlando Pirates (RSA)
Young Africans (TAN) v Etoile Sahel (TUN)
Royal Leopard (SWZ) v V Club (COD)
0 comments:
Post a Comment