Wenger: Barcelona wamenitosa.
Washika bunduki wa London Arsenal wapoteza matumani ya kumpata mshambuliaji DAVID VILLA kutoka Hispania baada ya bosi wake kudhibitisha kuwa hawako tayari kumuuza mshambuliaji huyo.
BALOTELI: NAKWENDA AC MILAN.
| Baloteli. Hii itakuwa ni fursa muhimu sana TELI kurudi nyumbani Italy na kucheza ktk klabu ya Milan,” meneja wa City Roberto Mancini alisema jana . “ Itakuwa ni nafasi nzuri ya yeye kukaa na familia yake na kuichezea Milan. Ninafikiri ataendelea kuwa bora na ninaaminai anaweza kuwa mchezaji bora wa dunia.Kocha wake aliendelea kusema. | ||
0 comments:
Post a Comment