Dodoma — serikali yatenga 13.9bn/- kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu kati ya 2009 na 2012.
Naibu waziri,ofisi ya waziri mkuu,tawala za mikoa na serikali za mitaa, Aggrey Mwanri, alisema kwenye bunge kwamba kati ya 2015, jumla ya shule 528 nchini ujenzi wake utakuwa umekamilika ikijumuisha nyumba za walimu.
Akijibu swali la Ahmed Ally Salum , (Mbunge wa ccm Solwa ) aliyeuliza serikali swali akita maelezo juu ya mipango ya haraka ya kuwezesha malazi kwa walimu wa shule za msingi na sekondari katika jimbo la Solwa.
"Katika mwaka wa fedha, 2012/2013 56.3bn/- imetengwa kwa ajili ya shule 264 ikiwa ni sehemu ya mpango wa kuboresha shule za msingi na sekondari," Mwanry alieleza.
Kabla ya 2015,aliongeza kuwa, jumla ya nyumba 1,800 kati ya shule 900 tofauti sehemu za vijijini zitakuwa zimekamilika na zilizoko Solwa zingejumuishwa kwenye mpango huo. Hivi karibuni waziri alielezea kuhusu uzembe wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo katika tawala za wilaya tofauti humu nchini, zimekuwa zikisorota kwa kisingizio kuwa fedha hazifiki kwa muda muafaka
Chanzo: Daily news..

0 comments:
Post a Comment