Pichani ni watoto maeneo ya Kibaha wakiuza bidhaa mbalimbali pembezoni mwa barara kwa wasafiri wa mabasi yaendayo mikoani kutoka jijini Daar es salaam.
Je,ni nini maoni yako juu ya hawa watoto? (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top