Hatimaye kivumbi kutimuka tena kwenye nyasi za uwanja wa Nou Camp kufutia mpambano mkali kati wababe wa soka Hispania Barcelona dhidi ya Real Mdrid March 2,2013
Barca mbayo inaiburuza Real kwa tofauti ya point 16 kwenye msimamo wa ligi ya hispania, wameonyesha kuzidiwa nguvu na watoto hao wa Morinho mara wanapo kuatana.
Mpambano wa mara ya mwisho kati ya wakali hawa uliochezwa huko Nou Camp Feb 26, 2013 kwenye kombe la Copa Del Rey ambapo Real iliweza kuibuka na ushindi wa magoli 3-1.
Kwenye mpambano huo watoto wa Morinho walionyesha kandanda safiya baada ya kucheza kwa ushirikiano wa hali ya juu huku wakifanya mashambulizi ya uhakika kitu kilicho wafanya waibuke na ushindi huo.
hivi sasa Barca ambayo iko chini ya kocha msaidizi Raura, wanakibarua cha kulipa deni la magoli mawili na hatimaye kurudisha imani kwa mashabiki kwenye mpambano utakaopigwa March 2,2013.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment