Wakati tukijituliza kwenye machimbo yetu ya hapa na pale kwa ajili ya kuhakikisha wikiend yetu inamalizika vizuri, hebu tuambizane je, ww kwa sasa hivi ukipata hela na unahitji kununua gari la kutembelea, ungependa kununua gari la aina gani na kwa nn?
Haya hapa ni miongoni mwa magari yaliyopendekezwa;
1.corrola
2.VX
3.Hammer
4.range rover
5.maceedez benz.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment