![]() |
Dimba la Wembley |
Dimba la Wembley ndilo linalo ongoza kwa kuandaa michuano ya UEFA champion league, imefanya hivyo mara saba hadi sasa. Na Francis Kivuyo kwa msaada wa Daily star.
Hili ndilo dimba la Wembley ambalo fainali za UEFA 2012/2013 kati ya Borussia dortmund na Bayern Munich yatafanyika kesho Mei 25, 2013
Dimba hili pia ndilolinaloshikilia rekodi ya kuandaa fainali nyingi za UEFA, fainali za UEFA zimefanyika hapa mara saba.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment