HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KWENYE  UWANJA WA SHEIK AMRI ABEID JIJINI ARUSHA WAKATI WA MASHINDANO YA RIADHA YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA VIJANA WALIOCHINI YA MIAKA 20

Hatima Uganda waibuka kidedea kwenye mashindano ya riadha ya vijana wa umri chini ya miaka 20 iliyofanyika jijini Arusha ambayo ilihusisha jumla ya nchi tisa kutoka Afrika ya Mashariki na katiki kwa kunyakua jumla ya medali kumi, sita kati ya hizo zikiwa ni dhahabu
Tanzania imejikuta ikiwa nafasi ya pili kwa baada ya kunyakuwa jumla ya medali 17, nne kati ya hizo zikiwa ni dhahabu
Ethiopia pia imejikita katika nafasi ya tatu kwa kunyakuwa jumla ya medali sita, mbili kati ya hizo zikiwa ni dhahabu......Rwanda ndiyo wameburuza mkia.

 
Wasimsmizi mbalimbali wakitoa maelekezo kwa wanariadha

Usimchezee huyo Muethiopa

Huyo wa mbele ni Mkenya, mbio mita mianne. kashinda yeye

 Akizungumza na MISHEMISHEKITAA  kutoka eneo la tukio, Mwenyekiti wa riadha taifa, Antony Mtaka amesema ili timu yetu iweze kufanya vizuri zaidi, Wadau mbalimbali wanatakiwa kuwekeza katika michezo mbalimbali ikiwemo riadha

Tanzania tumefunika zaidi kwenye mchezo wa kurusha mkuki na kisahani (tufe), pongezi za dhati kwa PPF na kampuni ya maji Aqua kwa kudhamini michezo hiyo
 
Wenyeviti wa timu mbalimbali za riadha  Afrika Mashariki na Kati wakiwa  katika picha ya pamoja wakati wa mashindano ya riadha kwa vijana waiochini ya umri wa miaka 20 jijini Arusha.

Wapili kutoka kulia ni Mhadhiri katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Dr. Ndee. Yeye ni miongoni mwa viongozi katika michezo hii.


(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top