SIO WENGINE  BALI NI VIJANA WA JKT OLJORO (WAFUNGA BUTI)WAKIWA KATIKA  MAANDALIZI KWENYE  UWANJA WA SHEIK AMRI ABEID JIJINI ARUSHA KUELEKEA LIGI KUU TANZANIA BARA INAYOTARAJIA  KUANZA  AUGOST 28, 2013

Ama kwa hakika mpaka sasa kikosi kiko imara kabisa kwa maana ya kwamba hakuna majeruhi wala kitu chochote kinachorudisha maandalizi yao nyuma. Kocha msaidizi, Elias amesema


Pichani hapo chini ni kocha msaidizi wa JKT Oljoro Bw. Fikiri Elias akitoa maelekezo kwa vijana wake uwanjani kama alivyokutwa na BLOG hii (MISHEMISHEKITAA)

Shukuru amesema wanajifua kufa na kupona ili kuweza kunyakua ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu huu wa 2013/2014 kwani wamechoka kuwasindikiza Yanga na Simba kwenye fainali hizo, JKT Oljoro msimu uliopita walimaliza katika nafasi ya nane.


Pichani hapo chini ni mmoja kati ya magoli kipa wa kikosi cha JKT Oljoro akijifua, kikosi cha JKT Oljoro kwa sasa ina takribani wachezaji ishiri na wanne.

 
NB: Picha zote na Francis Kivuyo [BA Journalism-SJMC, UDSM] (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top