ILE KAMPUNI YAKO YENYE SIMU ZA KIJANJA [TECNO], SASA IMEKULETEA SIMU KALI  NA YA KIJANJA AINA YA TECNO P3.
NI SIMU YA KISASA KABISA KUWAHI KUTOKEA HAPA TANZANIA!


Simu mpya ya Tecno P3 (Smartphone)

   HIZI NDIZO SIFA PEKEE YA SIMU MPYA YA TECNO P3

1. Ina intaneti yenye kasi kubwa, yaani [ 2G/3G]
2. Inatumia laini mbili kwa wakati mmoja.
4. Ina huduma za Facebook, Operamini, Gmail na Google Maps.
5. Ina camera mbili  [3 MP] kwa  nyuma na  0.3 MP kwa mbele pamoja na flash, 
6. Simu ya TECNO P3 inapatikana katika rangi tatu tofauti za kuvutia ambazo ni; nyeupe, nyeusi na manjano.
7. TECNO P3 pia inaendeshwa na mfumo wa Anroid 2.3 Gingerbread, inatumia Chipset ya  Qualcomm Snapdragon ambayo watumiaji wana uwezo wa  3.75G kuperuzi intaneti kwenye mtandao wa Vodacom.

Pichani hapo chini ni shamrashamra mbalimbali za uongozi wa Tecno walipo kutana juzi na baadhi ya bloggers wakati wa uzinduzi wa simu mpya aina ya Tecno P3 hapa jijini Dar es salaam.


Meneja Mahusiano wa Tecno Telecom Limited, Boukali Mounir (Watatu kulia) akishikana mikono na mmoja wa bloggers jijini Dar es Salaam, pembeni ni bloggers wengine.
Uongozi wa Tecno Telecom Limited ukiteta jambo na Mhina.














Kujipatia simu yako mpya  ya TECNO P3 ni rahisi sana,Tembelea duka lolote linalouza simu za kampuni ya TECNO popote nchini na uulizie simu mpya ya TECNO P3 kwa bei nafuu kabisa!!!

TECNO wanakuambia
BE SMART 
BE YOURSELF

(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

2 comments:

 
Top