Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil , Ronaldo amesema kwa sasa mlinda lango wa klabu ya Real Madrid, Iker Caillas ana kibarua kigumu sana kufuatia timu hiyo kuwa na goli kipa mwingine mzuri sana (Diego Lopez)
Ronaldo
 
Wasiwasi huo unakuja baada ya Casillas (32) kuendelea kusugua bench kama ilivyo kuwa kwa msimu uliopita wakati klabu hiyo ikiwa chini kocha Jose Mourinho.
Casillas



(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top