![]() |
Kutoka kushoto ni Ramsey & Wenger wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa tunzo hizo. |
Ramsey amefanikiwa kuifungia klabu yake magoli manne katika mechi mbalimbali mwezi uliopita ikiwemo magoli mawili ya ugenini dhidi ya Sunderland na mengine mawili dhidi ya Stoke City na Swansea
Hivi karibuni, Wenger, ameipeleka timu yake kileleni mwa ligi kwa kushinda michezo minne mfululizo ikiwemo ushidi wa 1-0 dhidi ya wapinzani wao wakubwa Tottenham.
Wikiendi ijayo (Oct 19), Arsenal watakipiga dhidi ya Norwich mara baada ya likizo.
Wikiendi ijayo (Oct 19), Arsenal watakipiga dhidi ya Norwich mara baada ya likizo.
Chanzo: Goal.com
0 comments:
Post a Comment