Hizi ni baadhi ya picha za leo zinazomuonyesha mmoja wa magolikipa nyota nchini Tanzania 'Kaseja' akifanya mazoezi mbalimbali ya ugolikipa na vijana wanaocheza ligi za mchangani (unprofessional football) katika uwanja wa BORA maeneo ya Kijitonyama kama wanavyo onekana katika picha hizi.

Akizungumza na mishemishezamtaa.blogspot.com, Kaseja amesema licha ya kuwa na kazi ngumu ya kufanya mazoezi mida ya asubuhi na klabu yake 'Yanga' bado analazamika kukutana na vijana mbalimbali kuwafundisha mbinu mbalimbali za udakaja mpira(kulinda lango) mida ya jioni.


Upande wa kulia ni KASEJA  akielekeza kupanga koni na viunzi.
Kaseja akionyesha jinsi ya kuwa makini katika eneo la goli ili kufanikiwa kuzuia mashambulizi
Upande wa kulia ni mzee mzima 'KASEJA'   akijaribu kuteta jambo na vijana hao baada ya mazoezi.
Kitendo cha KASEJA kujitolea muda wake wa ziada kuwafundisha soka vijana  wa mtaani, ni kitendo cha kiungwa sana kwani kinatoa motisha kwa vija wenye mapenzi na soka kutaka kujifunza zaidi hasa wanapofundishwa na mastaa.  




#Picha zote na Francis Kivuyo#





(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top