Peter Cech alipata jeraha hilo baada ya kuruku katika harakati za kuokoa mpira uliokuwa uningia kambani na kujikuta akidondokea bega lake la kulia, kwa sababu ya uzito wa mwili bega lake lilipata kuteguga na hatimaye kutolewa nje na nafasi yake kuchukuliwa na Schwarzer ambaye kiukweli alionyesha uwezo wa hali ya juu.
![]() |
Peter Cech akitolewa nje baada ya kuumia. |
Hata hivyo mchezo huo ulifaana sana kwani timu zote zilijaribu kucheza kwa nguvu na ufundi wa hali ya juu japo Chelsea waliruhusu kushambuliwa zaidi kwa nyakati tofauti.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment