Aliyekuwa mmiliki wa timu ya mpira wa vikapu LAClippers, ambaye amezongwa na balaa za kisheria, Donald Sterling, amekubali kuiuza klabu hiyo.
![]() |
Los Angels Clippers |
Bwana Sterling ameiuza klabu hiyo kwa aliyekuwamkuu wa kampuni ya Microsoft Steve Ballmer, kwa
dola bilioni 2.Bwana Sterling amekuwa akikabiliwa na shutumaza ubaguzi wa rangi.
dola bilioni 2.Bwana Sterling amekuwa akikabiliwa na shutumaza ubaguzi wa rangi.
Ametangaza pia kuwa ataondoa kesi aliyowakilishadhidi ya shirikisho la mpira wa vikapu nchiniMarekaniNBA, ya kudai ridhaa ya dola bilioni mojaakisema kuwa shirikisho hilo limekiuka haki zake za kikatiba.Shirikisho hilo la NBA limemuwekea marufuku yamaisha bwana Sterling kutohudhuria mechi zozoteza mchezo huo, kufuatia kanda zilizotolewaakimtusi aliyekuwa mpenzi wake kwa matamshi ya
kibaguzi wa rangi.
kibaguzi wa rangi.
Pia bwana Sterling amepewa hakikisho kuwa NBAhaitamfungulia mashtaka yoyote.Sasakinachosubiriwa ni asili mia 75 kati ya wamilikiwashirikishi 29 waliosalia wa klabu hiyokuidhinisha uuzaji huo.
credits: bbc
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment