Baada ya hapo jana the blues kufanikiwa kumbakisha John Terry kwa msimu ujao tena Stamfordnridge, kwa sasa wametangaza kumuwinda mshambuliaji wa klabu ya Hoffenheim, Roberto Firmino kwa udi na uvumba
Chelsea pia wamesema wana mpango wa kumuongezea kandarasi mshambuliaji wao mkongwe, Frank Lampard kuendelea kusukuma gozi Stamfordbridge.
Msimu uliopiopita (2013/2014) ulikuwa na changamoto kubwa sana kwa Chelsea iliyoko chini ya mbwatukaji Jose Mourihno baadaya kujikuta wanamaliza msimu bila ya kikombe hata kimoja.
Pichani hapo juu ni Roberto Firmino

0 comments:
Post a Comment