![]() |
| Hakuna siri duniani: Angalia jinsi Dimaria (kushoto nyuma ya dereva ) alivyonaswa na kamera ya paparazi jana usiku wakiwa njiani kuelekea makao makuu ya Man U, Old trafford. |
Mashetani Wekundu wamefanikiwa kunasa sahihi ya winga huyo bora kabisa wa Real Madrid kwa ada ya paundi milioni 59.7 bei ambayo itamfanya Dimaria kuwa katika orodha ya wachezaji wa tano kuwahi kununuliwa kwa bei ya juu duniani. Wengine ni Bale, Ronaldo, Suarezn na Rodriguez.
Kama Dimaria hatakutwa na hitilafu yoyote ya kiafya, basi anaweza akala kandarasi ya miaka mitano pale Oldtrafford. (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:
Post a Comment