![]() |
| Kumbe siyo bongo tu hadi Ulaya mambo haya yapo |
Ingawaje haikuweza kufahaika hilo lijipaka ni la nanai, lakini magazeti ya udaku ya huko nchini Hispania zilidai kuwa ni mzimu ya klabu ya Barcelona ambao wamekuja nao uwanjani kisiri kwa ajili ya kutambika ili kusafisha nyota kwa ajili ya msimu huu.
Katika mchezo huo Wakatalunya walitumia vyema uwanja wao wa nyumbani, Nou Camp na kuwaadhibu Elche kwa jumla ya magoli 3-0. Messi ndiye alikuwa wa kwanza kuifungia Barcelona dakika ya 42 kabla ya Munir El Haddadi Moham kuongeza goli la pili dakika ya 44 ya mtanange huo, lakini baadaye Messi aliongeza goli lingine la tatu na kufanya Barcelona wafungue msimu kwa jumla ya magoli 3 na pointi 3.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:
Post a Comment