Bingwa mtetezi wa kombe la mataifa ya Afrika (AFCON), Nigeria, leo ameonja joto la jiwe baada ya kujikuta wakibanwa mbavu na Sudan kwa kuchapwa goli 1-0. Goli hili linaifanya timu ya taifa ya Nigeria chini kocha wa Stephene Keshi kuburuza mkia katika kundi lao lenye timu za Congo Brazaville na Afrika Kusini.
 |
| Kikosi cha leo cha Nigeria; walihitaji ushindi wa aina yoyote ili kujiweka katika hali nzuri lakini ilishindikana kabisa. |
Sudan walipata goli la kwanza na la ushindi mnamo dakika za mwisha wa kipindi cha kwanza ya mpepetano huo kupitia mshambuliaji wao, Bakri Almadina
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment