
Katika kuadhimisha siku hii TFF ilipanga kufanya tafrija fupi ya kuwaenzi wale
wote waliotoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania katika
kipindi hicho cha miaka 50.
Hafla hii itafanyika katika siku
nyingine itakayopangwa. Orodha kamili ya watunukiwa imeambatanishwa hapa
(attached).
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment