Wapili kutoka kulia (waliosimama) ni Julio, akijaribu kusisitiza jambo kwa wachezaji wa Costal Union wakati wa mazoezi. |
"Hapana chezea Julio wewe" Jamhuri Kiwelu "Julio" alikuwa ni kocha mkuu wa klabu ya Mwadui Fc ya huko mkoani Shinyanga ambopo ameshaisasaidia timu hiyo kupanda ligi kuu Tanzania Bara kwa msimu ujao. Lakini kabla ya hata mwezi kuisha, Julio akaamua kubwaga manyanga na kujiunga na timu kongwe ya pale jijini Tanga "Costal Union Fc akiwa kama ni kocha msaidizi.
Wapili kutoka kulia ni Jamhuri Kiwelu "Julio" akiteta jambo na kamati ya utendaji ya Costal Union wakati wa mazoezi jana dimbani Mkwakwani. |
Mara baada ya kuwasili jijini Tanaga jana Feb 24, 2014, Julio bila kupoteza muda alianza kazi akisaidiana na kocha mkuu wa timu hiyo kwa sasa James Nandwa.
0 comments:
Post a Comment