Rafael Benitez amedhibitisha Eden Hazard kutokuwepo kwenye kikosi kitakacho cheza fainali ya Europa League dhidi ya Benfica leo usiku, huku nafasi ikichukuliwa na John Terry.

Terry and Benitez - Chelsea
kushoto, Eden Hazard na Rafael Benitez
Benitez ameongeza kuwa Meneja wa klabu ya Benifica, Jorge Jesus ni kocha mwenye uzoefu wa hali ya juu hivyo timu yake siyo ya kuibeza hata kidogo. (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top