Mhezaji wa Manchester United, Javia Hernandez "CHICHARITO" amemshukuru kocha wake anayejipanga kung'atuka mwishoni mwa msimu huu, Sir Alex Furguson huku akidai amemuezesha pakubwa katika maendeleo yake ya soka.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment