Kocha wa klabu ya EVATON DAVID MOYES, mapema jana kupitia mtandao wa klabu machester united alitangazwa kuwa mridhi wa mikoba ya SIR ALEX FURGUS mwishoni mwa wiki hii baada ya kikongwe huyo kutanga kustaafu kazi ya ukocha katika klabu ya MANCHESTER UNITED mwishoni mwa msimu huu
![]() |
Sir Alex Furguson. |
Furguson ambaye amedumu kwa muda wa
miaka 27 katika klabu ya MANCHESTER UNITED lakini pia akifanikiwa kutwaa mataji 20 tofouti akiwa na klabu hiyo, amesema miongoni mwa sababu zinazomfanya
kustaafu kazi yake ya ukocha ni pamoja na maumivu ya nyonga ambayo yamekuwa
yakimuandama mara kwa mara.
Maamuzi ya meneja SIR AL FURGUSON kustaafu ukocha,
yatatiwa sahihi baadaye na bodi ya klabu ya Manchester United, inayojumuisha familia ya GLAZER ambayo ndiyo
mmiliki timu hiyo na mtendaji mkuu klabuni hapo, DAVID GILL
![]() |
Manchester United wakishangilia ushindi wa ligi kuu 2012/2013 |
![]() |
Mridhi wa mikoba ya Furguson , David Moyes. |
Francis kivuyo www.goal.com
0 comments:
Post a Comment