![]() |
Jose Morinho |
Magoli ya Chelsea yamefungwa kwa nyakati tofauti na, G. Higuan manamo dakika ya 35, M.Esien dakika ya 38, K. Benzema dakika ya 69 huku la mwisho likifungwa na J.M.Callejon dakika ya 87. Kwa upande wa Osasuna magoli yake yamefungwa na, R.T. Morales mnamo dakika ya 52 huku la pili likifungwa na A.Cejudo dakika ya 63. Mechi ya leo ni muhimu sana kwa Morinho kwani imemfanya kuondoka Santiago Bernabeu akiwa na furaha kubwa.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment