Mabingwa watetezi wa Europa League, Chelsea chini ya kocha Jose Mourinho maarufu kama 'the Happy One' wamefanikiwa kumsainisha Andre Schurrle pamoja na kiungo wa timu ya taifa Uholanzi Marco van Ginkel
huku wakiwa mbioni kudhibitisha usajili wa wa mlinda lango Mark Schwarzer
Jumanne ijayo.
Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari, Morihno amesema Andre Schurrle bado ni mdogo lakini tayari ana historia kubwa kwa sababu amecheza katika timu yake ya taifa, amecheza ligi ya mabingwa na amechezea pia klabu ya Leverkusen kwa misimu mitatu, hivyo kwa hakika ni mchezaji anayewafaa.
![]() |
Andre Shurrle |

Alipoulizwa kuhusu mustakabali wa Peter Cech , Morihno alisisitiza kuwa Chech ni mlinda lango bora duniani na ataendelea kubakia kuwa Chech katika klabu ya Chelsea kwani Mark anafahamu fika kuwa anakuja tu kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho
Kibarua kikubwa alichonacho Mourinho kwa sasa ni kujaribu kurudisha ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza baada kumaliza katika nafasi ya tatu msimu uliopita
Chanzo: Saturday Monitor
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
Chanzo: Saturday Monitor
0 comments:
Post a Comment