Rais wa shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA, Sepp Blatter ameunga mkono kitendo cha nchi ya IRAN kutaka kuwamwenyeji wa 'Asian Cup' alipotembelea nchi hiyo jana kuhudhuria semina ya michezo iliyofanyika nchini humo

Sepp Blatter shakes hands with Iran President Hassan Rouhani. AFP
Kutoka kushoto ni Sepp Blatter akisalimiana na Hassan Rouhani
kwa mjibu wa taarifa kutoka  katika tovuti  rasmi ya habari ya nchini Iran 'Irna' imeripoti kuwa Blatter na rais wa shirikisho la mpira wa miguu la Asi (AFC), Ibrahim A-khalifa amekutana na rais Hassan Rouhani huko Tehran, ambapo Rouhani aliwashukuru marais hao kwa kumuunga mkono nia yake ya kutka kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Aisa 2019
Rouhani alisema kuwa michezo hudumisha amani na umoja miongoni mwa nchi mbalimbali.
Hata hivyo nchi ya Iran imefanikiwa kunyakuwa ubingwa wa kombe la Asia mfululizo mwaka 1968, 1972 na 1976 huku akiwa mwenyeji wa michuana ya mwaka 1968 na 1976
Hadi sasa jumla ya nchi nane zimepeleka maombi ya kuanda faina hizo 2019 ikiwemo nchi ya Bahrain, China, Kuwait, Oman, Saudi Arabia, Thailand huku  United Arab Emirates  ikiungo mkono Iran.
Michuano ijayo ya 2015 inatrajiwa kufanyika  nchini  Australia.

Chanzo: The daily Telegraph.

(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top