Mabingwa  watetezi wa ligi kuu ncini Hispania Barcelona, maarufu kama wakatalunya, leo hii kupitia tovut  ya klabu yao  wamedhibitisha kuwa mshambuliaji  wao wa kimataifa ANDREW LEONEL MESSI  atakuwa nje ya dimba kwa muda wa miezi miwili kuanzia sasa kufuatia jeraha la goti alilolipata wakati timu yake ikicheza dhidi ya  Klabu ya REAL BETIS FC hapo jana ambapo Barcelona iliibuka kwa ushindi wa magoli 4-1

Lionel Messi - FC Barcelona v AC Milan
Kutoka kushoto ni Andrea Poli,(AC Millan) Andrew Lionel Messi na  Cristia Zapata (AC Millan).
Uongozi wa klabu ya Barcelona imesema kuwa  Messi analazimika kukaa nje ya dimba kwa muda wa wiki nane sawa na miezi miwili ili kuwapa Madaktari nafasi ya  kumfanyia matibabu ya maumivu hayo ya goti yanayomsumbua kwa muda hivi sasa
Aidha kutokana na maumivu hayo , MESSI nalazimika kukosa  mechi kati ya Granada, Ajax, Celtic, Villarreal,  Getafe, pamoja na michezo yote miwili ya Copa del Rey  dhidi ya  Cartagena.

Chanzo: Goal.com              

(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

1 comments:

 
Top