Kama kawaida ligi ya 'MWENYEKITI CUP' inayofanyika kaika kata ya MIKOCHENI imeendelea kunguruma leo hii kwa timu  mbili ( SANTIAGO & ABC) kujitupa dimbani, ambapo mechi hiyo ilifika tamati kwa Santiago FC kuinyuka ABC goli moja kwa nunge.

Goli la kwanza na la ushindi laSantiago lilipachikwa kambani na mshambuliaji OSSY mnamo dakika ya 58 ya kipindi cha pili ya mtanange huo ambapo OSSY aliachia shuti kali lilomshinda mlinda lango wa timu ya ABC na hatimaye kuifanya timu yake kujinyakulia point tatu muhimu kwa siku ya leo.

NA SHUGHULI NZIMA DIMBANI KWA SIKU YA LEO ILIKUWA HIVI............




>>>CHEKI MCHANGA UNAVYO TIFUKA......UTADHANI NI 'BEACH SOKA!'



>>>>HIYO ILIKUWA NI MIONGONI MWA 'CROSS' HATARI SANA KATIKA LANGO A 'ABC' Fc.

Baadhi ya video za mechi hii zipo kwenye blogu hii......ingia katika page ya VIDEOS kuzitazama

Picha zote na Francis Kivuyo.


(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top