kwa wale wapenzi wa kinywaji aina ya WINE sasa hakuna haja ya kuangaika kutafuta kifaa cha kufungulia chupa ya kinywaji hicho kwani njia rahisi imegundiliwa
kufungua chupa yako ya Wine popote ulipo ambapo hakuan kifaa maalumu (corkscrew) cha kufungulia ni rahisi sana kwa sasa kwani unachotakiwa kuwa nacho ni kiatu (size ya mtu mzima) na kukaa karibu na ukuta na kisha kuanza kuigosha ukutani kama inavyo elekezwa na picha hizi
kabla ya kuanza zoezi la kuweka chupa yako ya WINE katika kiatu na kuanza kuigongesha ukutani, unapaswa kuondoa ile 'sealed' ya juu
 |
Stephen Cronk, mfanyakazi katika kampuni ya Mirabeau Wine akiwa ameshika chupa ya WINE tayari kuonyesha jinsi ya kuifungua |
 |
Tayari ametoa 'sealed' |
 |
Anaivalisha kwenye kiatu |
 |
angalia jinsi inavyogongeshwa ukutana |
 |
mfuniko ndiyo huo umepanda juu 'imeachia' |
 |
kama kawaida anamalizia kuitoa kwa mkono......hapo WINE yako tayari kwa kuinywaa.
Tahadhari kwa WABONGO, hakikisha kiatu chako ni kisafi na pia katika harakati za kuifungua WINE yako, usitumie nguvu sana kuigongesha chupa ukutani kwani unaweza ukaivunja.
Credits: Daily Mail.
|
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment