Meneja wa zamani wa klabu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson amepata nafasi ya kufundisha somo la biashara (The Business of Entertainment, Media and Sports) katika chuo kikuu cha Havard huko nchini Marekani

Alex Ferguson - Manchester United v Manchester City
Sir Alex Ferguson.
Baada ya kufanikiwa kunyakua jumla ya vikombe 49 kwa miaka 26 katika maisha yake ya ukocha, 38 kati ya hizo akiwa amezipata kipindi akiwa Old Trafford kwa muda wa miaka 26, mzee Furguson 72 aliamua kustaafu  2013 huku nafasi yake ikichukuliwa na David Moyes.

Miongoni mwa vikombe vikubwa alivyo wahi kuchukuwa Ferguson kipindi chote alicho kaa OT ni vikombe 13 vya ligi kuu ya Uingereza na viwili (2) vya ligi kuu ya mabingwa barani Ulaya (UEFA)

''Ninajiskia wa furaha kubwa kupata nafasi hii  hadimu ya kuchangia nilicho nacho katika chuo hiki cha Harvard'' Ferguson Alisema.

Credits..espn.




(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top