Majambazi ambo idadi yao haikuweza kufahamika mara moja yamevamia kwa mtukutu 'Super' Malio Baloteli na kuanza kujichukulia  vitu vyenye dhamani ya juu wakati star
huyo akiwa "dinner" na ndugu yake  Enock usiku wa kuamkia leo.
Vitu vilivyo ibwa kwa Baloteli anayekipiga katika klabu ya AC Millan (Italy) ni SAA za mkononi, madini aina ya GOLD pamoja na gari ya bei mbaya zaidi "porsche" ingawaje baadaye gari hilo lilikutwa limetelekezwa.
Baloteli

Kwenye mtandao wa twitter, Baloteli aliandika hivi; "najihisi mtupu kabisa...hisia zimeniishia. Lakini siku zote najituma kwa wale wachache niwajuao. Wamestahili"

Tukio hilo lilijitokeza muda mfupi tu baada ya wezi wengine kujaribu kumuibia Baloteli saa ya mkononi akiwa anajirusha klabuni.


credits: Foxsoccer



(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

0 comments:

Post a Comment

 
Top