Ratiba hiyo imezingatia michuano ya Chalenji itakayochezwa Novemba, usajili wa dirisha dogo Nov 15- Des 15, ushiriki wa klabu za Azam na Yanga kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa (CL) na Kombe la Shirikisho (CC), mechi zitachezwa wikiendi ili kuongeza msisimko/kuwapa fursa mashabiki wengi zaidi kuhudhuria, katikati ya wiki imeachwa wazi kwa ajili ya mechi za Kombe la FA (Federation Cup). Vilevile kutakuwa na mechi Boxing Day na siku ya Mwaka Mpya.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment