Louis van
Gaal a.k.a Mr. 3:5:2 ameanza rasmi mchujo wa kikosi cha kuelekea msimu ujao ambapo wanandinga 5 wamejikuta matatani.
Akifanya mahojiano na wachezaji hao katika uwanja wao wa mazoezi uliopo Carrington, Van Gaal aliweka wazi kuwa; beki wa kulia Rafael Da Silver, Javier Hernandez, Marouane
Fellaini, Wilfried Zaha, pamoja naye winga Luis Nani ndiyo wachezaji watakaofungashiwa virago muda wowote ili kutoa nafasi ya wachezaji wapya wanao hitajika Oldtraford kwa ajili msimu huu unao anza Augost 16, 2014, wakati huohuo LVG amemuhakikishishia Shinji Kagawa nafasi katika kikosi chake.
 |
Javie Hernandez |
 |
Rafael |
|
|
|
 |
Luis Nani. | | | |
 |
Marouane Fellahini |
 |
Wilfred Zaha. |
Endapo mabadiliko hayatatokea, basi Shinji Kagawa atakuwa anasaidia na Mata, maana yake atakuwa anasikilizia benji.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment