Mshambuliaji Barcelona's Luis Suarez anaweza akawa miongoni mwa sehemu ya
kikosi cha Barcelona kitakacho ikiabili Real Madrid Octoba 25, mwaka huu ikiwa ni siku moja baada
ya si baada ya adhabu yake ya kumng’ata mchezaji wa Italy Giorgio Chiellini
kumalizika.
 |
Ni kazi kwake Luis Enrique kuamua kumtumia Suarez katika mchezo wa El Clasical, mwezi Octoba 25 pale dimbani Bernabeu |
Suarez alijikuta katika wakati mgumu baada ya kufungiwa kucheza michezo 9
katika timu yake ya taifa na kufungiwa kucheza mashindano yoyote
yanayotambuliwa na shrikisho la kandanda la dunia FIFA kwa muda wa miezi minne
tangu June 29, mwaka huu.
Na kwa mujibu wa mahakama ya usulihishi wa soka, adhabu hiyo inamalizika
Octoba 24, mwaka huu kwa hiyo ni maamuzi yake kocha wa Barcelona, Luis Enrique
kuamua kumtumia mchezaji huyo katika mchezo wao dhidi ya Real Madrid Octba 25 mwaka huu.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment