![]() |
Ozil amekuwa hana namba ya kudumu kunako Emirates; Wenger amekuwa akimchezesha katika nafasi anayo jiskia yeye kumchezesha. Hicho kitendo haikimfurahishi Ozil na ndiyo maana anaona ni vyema kuhama na kwenda katika klabu itakayomtumia kulingana na nafasi anayo mudu kucheza |
Ingawaje Arsene Wenger hana tabia ya kuuza wachezaji katika kipindi cha dirisha dogo la usajili, wachambuzi wa mambo wanaamini suala la masilahi ndilo litaamua zaidi kama Wennger atakubali kufanya biashara hiyo au la mwezi Januari, 2014.
Klabu ya Bayern Munich inatajwa kuwa mstari wa mbele kutaka kumchukua Ozil kwa dau la pauni milioni 30 endapo wabeba mitutu watakubali kumuachia.
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
0 comments:
Post a Comment