NI SIMU YA KISASA KABISA KUWAHI KUTOKEA HAPA TANZANIA!
![]() |
Simu mpya ya Tecno P3 (Smartphone) |
HIZI NDIZO SIFA PEKEE YA SIMU MPYA YA TECNO P3
1. Ina intaneti yenye kasi kubwa, yaani [ 2G/3G]
2. Inatumia laini mbili kwa wakati mmoja.
4. Ina huduma za Facebook, Operamini, Gmail na Google Maps.
5. Ina camera mbili [3 MP] kwa nyuma na 0.3 MP kwa mbele pamoja na flash,
6. Simu ya TECNO P3 inapatikana katika rangi tatu tofauti za kuvutia ambazo ni; nyeupe, nyeusi na manjano.
7. TECNO P3 pia inaendeshwa na mfumo wa Anroid 2.3 Gingerbread, inatumia Chipset ya Qualcomm Snapdragon ambayo watumiaji wana uwezo wa 3.75G kuperuzi intaneti kwenye mtandao wa Vodacom.
Pichani hapo chini ni shamrashamra mbalimbali za uongozi wa Tecno walipo kutana juzi na baadhi ya bloggers wakati wa uzinduzi wa simu mpya aina ya Tecno P3 hapa jijini Dar es salaam.
Meneja Mahusiano wa Tecno Telecom Limited, Boukali Mounir (Watatu kulia) akishikana mikono na mmoja wa bloggers jijini Dar es Salaam, pembeni ni bloggers wengine. |
Uongozi wa Tecno Telecom Limited ukiteta jambo na Mhina. |
TECNO wanakuambia
BE SMART
BE YOURSELF
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
Inapatikana kwa bei gani tshs?
ReplyDelete150000Tsh@ Marwa.
ReplyDelete