Mabingwa watetezi wa ligi kuu ncini Hispania Barcelona,
maarufu kama wakatalunya, leo hii kupitia tovut ya klabu yao wamedhibitisha kuwa mshambuliaji wao wa kimataifa ANDREW LEONEL MESSI atakuwa nje ya dimba kwa muda wa miezi miwili
kuanzia sasa kufuatia jeraha la goti alilolipata wakati timu yake ikicheza
dhidi ya Klabu ya REAL BETIS FC hapo
jana ambapo Barcelona iliibuka kwa ushindi wa magoli 4-1
 |
Kutoka kushoto ni Andrea Poli,(AC Millan) Andrew Lionel Messi na Cristia Zapata (AC Millan). |
Uongozi wa klabu ya Barcelona imesema kuwa
Messi analazimika kukaa nje ya dimba kwa muda wa wiki nane sawa na miezi
miwili ili kuwapa Madaktari nafasi ya kumfanyia matibabu ya maumivu hayo ya goti
yanayomsumbua kwa muda hivi sasa
Aidha
kutokana na maumivu hayo , MESSI nalazimika kukosa mechi kati ya Granada, Ajax, Celtic,
Villarreal, Getafe, pamoja na michezo
yote miwili ya Copa del Rey dhidi ya Cartagena.
Chanzo: Goal.com
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
hey this is a nice thing!
ReplyDelete